TAG-CICC
Mfumo wa Usimamizi wa Kanisa
www.tag-cicc.or.tz
Mfumo wa kusimamia washirika, idara, kanda, ibada, fedha, na ripoti za TAG-CICC.
Awamu ya kwanza inalenga kusajili washirika, kupanga idara na kanda, kuweka majukumu ya viongozi, na kujenga msingi wa ripoti na fedha.
Awamu 1
Msingi wa ushirika
Sajili mshirika, mpangie kanda, na mfumo utampa idara ya msingi kwa umri na jinsia.
Awamu 2
Ibada na fedha
Sadaka, zaka, michango, kapu, gunia, na ripoti za fedha.
Awamu 3
Kalenda na utekelezaji
Kalenda ya mwaka, utekelezaji wa idara, uidhinishaji, na asilimia ya utekelezaji.