Huduma

Idara na huduma za kanisa

Kila mshirika ana nafasi ya kuhudumiwa na kutumika kupitia idara mbalimbali kulingana na umri, jinsia, karama, na wajibu wake.

Idara ya wamama

Huduma zinazojenga watu na familia.

Idara zetu zinaunganisha washirika katika ibada, mafundisho, matukio, uinjilishaji, maombi, na huduma za kijamii kwa utukufu wa Mungu.

Wanawake wa TAG-CICC kwenye huduma ya idara

Idara ya watoto

Huduma ya kuwalea watoto katika misingi ya Neno, maadili, na kumjua Mungu tangu wakiwa wadogo.

Idara ya wamama

Huduma ya kuwajenga wamama kiroho, kifamilia, kijamii, na kiutumishi.

Idara ya wababa

Huduma ya kuwajenga wababa katika uongozi, familia, uwajibikaji, na huduma ndani ya kanisa.

Idara ya vijana

Huduma ya vijana inayolenga ukuaji wa kiroho, maadili, vipaji, na maandalizi ya maisha.

Uinjilishaji

Huduma ya kufikisha Injili, kufuatilia wageni, na kushirikisha jamii habari njema ya Yesu Kristo.

Sala na maombezi

Huduma inayosimamia maombi, maombezi, na kusimama kwa ajili ya mahitaji ya kanisa na jamii.